Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana, Dkt. Kedmon Mapana leo Juni 17, 2026 ametembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Chinangali Park, Dodoma.
Dkt. Mapana amezungumza na Watumishi wa ofisi hiyo kujua utayari wao katika kutoa huduma kwa wananachi hususani vijana wanaofika katika banda hilo kutaka huduma za kiutumishi.
Akiwa bandani hapo ametoa maelekezo kwa watumishi wa Ofisi hiyo kutoa huduma kwa weledi, ili kuakisi kaulimbiu ya maadhimisho hayo inayosema "kuchochea uwajibikaji jumuishi kwa huduma endelevu."
- "Huduma bora: Mafunzo ya NeST Morogoro yaiweka Ofisi ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka, ak...
- Makundi maalumu ikiwemo Vijana waaswa kujiunga NeST kupata fursa ya 30% ya Zab...
- Huduma bora kwa watanzania, NeST kutoa fursa kwa wazabuni wa...
Serikali imekabidhi pikipiki 22 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 87 kw...