Ofisi ya Rais
Maendeleo ya Vijana
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana inaongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, akiwa na Naibu Katibu Mkuu na idara mbalimbali zinazoshughulikia maendeleo, uwezeshaji na ufuatiliaji wa vijana nchini.