Ofisi ya Rais
Maendeleo ya Vijana
Majukumu Yetu

Majukumu Yetu

  1. Kuandaa, Kuratibu na Kusimamia utekelezaji wa sera zinazohusu Maendeleo ya Vijana;
  2. Uratibu wa Maendeleo ya Vijana, na Dhana ya Kujitolea;
  3. Uratibu wa Elimu ya Uraia kwa Vijana, Ustawi wa Vijana, ushirikishwaji na uwezeshaji wa Vijana kiuchumi;
  4. Uratibu wa Majukwaa ya Vijana;
  5. Kuboresha Utendaji na Maendeleo ya Rasilimali Watu; na
  6. Kusimamia Taasisi zilizo Chini ya OR – MV.