Dhima
Kutoa mwelekeo wa kimkakati na uongozi wa kitaifa katika masuala ya maendeleo ya vijana, uratibu wa afua na usimamizi wa utekelezaji wake, kuwezesha vijana kupata ujuzi na fursa za kushiriki katika shughuli za kijamii, kuimarisha mifumo ya kitaifa na kimataifa pamoja na kusimamia mifumo madhubuti ya utawala na uwajibikaji inayowezesha vijana kuchangia kwa ufanisi katika mabadiliko ya kijamii na kiuchumi.