Ni zaidi ya Vijana 1,600 wamehudhuria kwenye tamasha la nje ya box youth talk lililoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya UFAULU Project ambapo linakwenda na Kauli mbiu isemayo 'Vijana tuyajenge, Tanzania ni yetu"
Mgeni rasmi kwenye tamasha hili ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Kutoka ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana ndugu Godfrey Massawe aliyemwakilisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Vijana Dkt.Kedmon Elisha Mapana.
- "Huduma bora: Mafunzo ya NeST Morogoro yaiweka Ofisi ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka, ak...
- Makundi maalumu ikiwemo Vijana waaswa kujiunga NeST kupata fursa ya 30% ya Zab...
- Huduma bora kwa watanzania, NeST kutoa fursa kwa wazabuni wa...
Serikali imekabidhi pikipiki 22 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 87 kw...